Kihahon

Kihahon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wahahon. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kihahon imehesabiwa kuwa watu 1300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihahon iko katika kundi la Kioseaniki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search